BARRICK YATOA SH.MILIONI 20 KUKARABATI VIWANJA VINNE VYA TENNIS MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BARRICK YATOA SH.MILIONI 20 KUKARABATI VIWANJA VINNE VYA TENNIS MWANZA

Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya African Barrick Gold, Blandina Munghenzi (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 20, Kocha Mkuu wa Chama cha Tennis Tanzania, Boazi Mwakyusa, kwa ajili ya kusaidia kufanya ukarabati wa viwanja vinne vya Tennis vilivyopo Isamilo mkoani Mwanza, wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mhariri Jarida la ‘Tanzania Tennis Magazine’, Simbiso Machine.
Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya African Barrick Gold, Blandina Munghenzi, Kocha Mkuu wa Chama cha Tennis, Boazi Mwakyusa, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya Sh milioni 20 kwa Chama cha mpira wa Tennis Tanzania, kwa ajili ya kufanya ukarabati wa Viwanja vinne (4) vya mchezo huo vilivypo Isamilo Mkoa wa Mwanza. Hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika kwenye Ofisi za Barrick Masaki leo. Kushoto ni Mhariri wa Jarida la ‘Tanzania Tennis Magazine’, Simbiso Machine.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages