BENKI YA KCB YAADHIMISHA MIAKA 100 TANGU KUANZISHWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BENKI YA KCB YAADHIMISHA MIAKA 100 TANGU KUANZISHWA

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, Dk. Edmund Mndolwa (Kulia) akimkabidhi zawadi maalum Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Fatma Ndagiza, wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa benki hiyo iliyoambatana na hafla ya chakula cha pamoja kwa wafanyabiashara wa Afrika Mashariki waliopo Tanzania kilichoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana usiku. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania, Joram Kiarie.
Mwenyekiti wa Bodi ya KCB Tanzania, Dk Edmund Mndolwa (Kulia) akizungumza na wafanyabiashara wa Afrika Mashariki (hawapo pichani) waliohudhuria hafla ya chakula cha pamoja kwa wafanyabiashara wa Afrika Mashariki waliopo Tanzania iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana usiku. Katikati ni Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Fatma Ndagiza na Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania, Joram Kiarie.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages