MTOTO AFUNGWA KAMBA KAMA MBUZI KWA MUDA WA MIAKA 15 SASA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MTOTO AFUNGWA KAMBA KAMA MBUZI KWA MUDA WA MIAKA 15 SASA

Mtoto huyo aliyejulikana kwa kwa jina la Hassan Mwinyi, akiwa nje ya nyumba yao Mkoani Tanga, huku akiwa amefungwa Kamba mguuni kama Mbuzi, Je huu ni uungwana??
Kijana huyu mwenye Utindio wa ubongo, Hassan Mwinyi, amekuwa akifungwa kamba na mama yake mzaziusiku na mchana kama mfugo tangu alipokuwa mdogo kutokana na tatizo hilo. Hapa anaonekana akimvuta mkono Mbunge wa Viti Maalum wa mkoa wa Tanga, Amina Mwindu ili amsaidie kufungua kamba hiyo, wakati mbunge huyo alipopita eneo hilo na kutaka kumjulia hali baada ya kumkuta akiwa amefungwa kamba hiyo. Picha na Francis Godwin

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages