Mheshimiwa Allassane Ouattara akiwasili katika ukumbi wa mikutano uliopo katika makao makuu ya umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano maalumu wa Umoja wa Afrika kuhusu suluhu ya mgogoro wa kisiasa wa Ivory Coast. Hata hivyo hasimu wake kisiasa Laurent Gbagbo hakuja jijini Addis.
Picha na Freddy Maro-Ikulu
Picha na Freddy Maro-Ikulu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)