WAZIRI WA ZAMANI WA AFRIKA MASHARIKI NA MBUNGE WA ZAMANI DKT KAMALA ATEMBELEA JIMBO LAKE LA ZAMANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI WA ZAMANI WA AFRIKA MASHARIKI NA MBUNGE WA ZAMANI DKT KAMALA ATEMBELEA JIMBO LAKE LA ZAMANI

Mlezi Wa Shule Ya Sekondari ya Rwemondo na Mbunge wa Zamani Wa jimbo La misenye na Waziri Wa Zamani Wa Afrika Mashariki Dkt Diodorus Kamala akimkabidhi Mkuu Wa Shule Ya Sekondari Ya Rwemondo Mh William Mashimba Kompyuta ya Kiganjani (LAPTOP) aina ya DELL yenye thamani zaidi ya Milioni Moja
Waziri Wa Zamani Wa Afrika Mashariki Na Mbunge Wa Zamani Wa Jimbo La Misenye Dkt Diodorus Buberwa Kamala (Mwenye Suti Nyeusi) Alipotembelea Daraja La Mto Kaja huku akiwa amongozana na Viongozi Wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Kagera
Waziri Wa Zamani Wa Afrika Mashariki Na Mbunge Wa Zamani Pia Wa Jimbo la Misenyi Dkt Diodorus Buberwa Kamala Akimpongeza Kiranja Mkuu Mpya Wa Shule ya Sekondari Ya Rwemondo iliyopo Wilayani Misenyi
Picha Kwa Msaada Wa Audax Mtiganzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages