KESI YA VIONGOZI WA CHADEMA YASIKILIZWA LEO ARUSHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KESI YA VIONGOZI WA CHADEMA YASIKILIZWA LEO ARUSHA

 Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Willbroad Slaa Akizungumza na kuwashukuru wananchi waliojitokeza kwa wingi katika kusikiliza kesi yao ambayo iiliskilizwa leo katika mahakama ya Arusha na baadae kuahirishwa hadi March 25 mwaka huu.
 Huu ni umati Mkubwa Wananchi na Wanachama Wa Chadema ambao walifika Katika Mahakama ya Arusha Ili Kusikiliza Kesi inayowakabili Viongozi wa Chadema walipokua wakitoka ndani ya jengo la mahakama mara baada ya kesi hiyo kuahirishwa hadi tarehe 25 machi mwaka huu.
Baadhi ya Viongozi wa Chadema wakiwa nje ya jengo la mahakama ya Arusha mara baada ya kesi yao kuahirishwa hadi machi 25 mwaka huu.
 Mbunge Wa Arusha Mh Godless Lema Akizungumza na Wananchi pamoja na Wanachama Wa Chadema waliojitokeza Kusikiliza Kesi Inayowakabili
Wanachama Wa Chadema Wakiwa wanatoka ndani ya jengo la mahakama ya Arusha huku watuhumiwa wengine wakipelekwa mahakamani kwaajili ya kusomewa mashitaka yao huku wakisikika wakishangilia chadema
Picha Kwa Msaada Wa Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages