KAMPUNI YA GF TRUCKS YAKABIDHI MAROLI 2 KWA JIJI LA MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMPUNI YA GF TRUCKS YAKABIDHI MAROLI 2 KWA JIJI LA MBEYA


Mkurugenzi wa Kampuni ya GF Trucks & Equipment Ltd, Imran Karmali (watatu kushoto) akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari, Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, wakati wa hafla ya makabidhiano ya maroli mawili aina ya FAW yenye thamani ya Sh. milioni 282, ambayo yanauwezo wa kukusanya Tani 18. Hafla hiyo imefanyika leo mchana kwenye Ofisi za GF zilizopo Barabara ya Nyerere Dar es Salaam. Katikati ni Mganga Mkuu wa Jiji la Mbeya, Samwel Lazaro, (wapili kushoto) ni Mhandisi wa Jiji la Mbeya, Laynas Sanya.
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, akizungumza baada ya makabidhiano hayo.
"Ebwana eeeh! liko powa hili gari weee acha tuuuuu!"
Kapunga akijaribu kuliwasha gari hilo baada ya makabidhiano.
Mkurugenzi wa GF, Imran, akimpongeza bwana Kapunga baada ya kufanya majaribio ya gari hili na kulirajibu.
Na Sufiani Mafoto.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages