Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kushoto) akimweleza jambo Katibu wa Bunge la Uingereza 'House of Commons' Jack Malcom, wakati alipofika kwenye Ofisi za bunge jijini Dar es Salaam leo mchana kumtembelea. Katibu huyo wa Bunge la Uingereza yupo nchini kwa ziara ya kikazi kubadilishana uzoefu na viongozi wa Bunge letu namna ya uendeshaji wa shughuli za mabunge katika nchi wanachama wa nchi za Jumuia ya Madola. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)