AGIZO LA MAGUFULI LAANZA KUFANYA KAZI MAENEO YA KIGOGO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AGIZO LA MAGUFULI LAANZA KUFANYA KAZI MAENEO YA KIGOGO


Nyumba zilizopo katika maeneo ya Kigogo jijini Dar es Salaam, zikianza kubomolewa ili kupisha upanuzi na ujenzi wa njia ya magari yaendayo kasi kama alivyoagiza Waziri wa Ujenzi John Magufuli hili karibuni, wakati alipofanya ziara na kupita katika Barabara hiyo iliyoanzia Ubungo Maziwa. Sasa Wakazi hao wameanza kutekeleza agizo hilo kwa kuanza kubomoa wenyewe nyumba hizo zilizo katika maeneo ya Kigogo.
Na MDAU WA LJ BLOG.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages