WANANCHI MOROGORO WACHANGAMKIA UNUNUAJI WA KATIBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANANCHI MOROGORO WACHANGAMKIA UNUNUAJI WA KATIBA

 
SIKU za hivi karibuni baadhi ya wananchi kote nchini wameonekana kuamka kwa kuchangamkia kununua Katiba  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana jioni mtandao huu ulimshuhudia, Bw. Shaha Simbaliana mkazi wa hapa akiwa na katiba kwenye pikipiki yake, alipohojiwa alidai kwamba ametoka kuinunua katiba hiyo na kwamba anakwenda kuisoma kwa umakini yeye na familia yake.
                PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE/GPL, MOROGORO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages