Simon Mwakifwamba akizungumza baada ya uzinduzi.
SHIRIKISHO la filamu nchini (TAFF) lilizinduliwa rasmi katika viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni jijini Dar, Februari 14 mwaka huu.
Akizungumza baada ya uzinduzi huo, rais wa shirikisho hilo, Simon Mwakifwamba alisema kwa sasa shirikisho hilo lipo katika wakati mgumu na aliiomba serikali iwasaidie hasa kwa vile wanategemea kufanya tamasha kubwa la filamu mwezi Septemba mwaka huu.
Mwakifwamba alitoa rai kwa serikali iwaruhusu waendelee kutumia jina la Mwalimu Nyerere katika kazi mbalimbali zitakazokuwa zikifanywa na shirikisho hilo.

Husna Posh “Dotnata” akiteta jambo na mmoja wa mashabiki wa filamu waliohudhuria uzinduzi huo.
Yvonne Cherry “Monalisa” akiwa katika pozi.
Nembo iliyokabidhiwa kama zawadi kwa shirikisho hilo.
Mnenguaji wa kikundi cha promosheni za mitaani akiwajibika jukwaani.
Mzee Chilo (kushoto), Dotnata na mume wake wakiwa katika picha ya pamoja.
PICHA HABARI SHAKOOR JONGO, /GPL
PICHA HABARI SHAKOOR JONGO, /GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)