WABUNGE WA CHADEMA WATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WABUNGE WA CHADEMA WATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA

Mbunge Wa Jimbo La Kawe Kupitia Chadema Mh Halima Mdee Akiweka Shada la Maua Juu ya Kaburi La Baba wa taifa Musoma Walipokwenda Kutembelea Familia Ya Mwalimu Nyerere Pamoja Na Mama Maria Nyerere.
Katibu Mkuu Wa Chadema Mh Dkt Wilbroad Slaa Akiteta Jambo na Mama Maria Nyerere Mke wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere walipoenda kumtembelea Musoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages