EXTRA BONGO YATAMBULISHA MPYA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

EXTRA BONGO YATAMBULISHA MPYA LEO

 
Choki akizungumza na wanahabari leo mchana.
BENDI ya Extra Bongo leo mchana imetambulisha nyimbo zake mpya kwa waandishi wa habari ambapo Mkurugenzi wa bendi hiyo Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’  amesema Ijumaa ya Machi 4 mwaka huu, watafanya onesho kubwa la kutambulisha nyimbo mpya na wanamuziki sita iliyowachukua Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kwa mashabiki wao katika Ukumbi wa New Msasani Beach Club, jijini Dar es Salaam.
Nyimbo zilizotambulishwa leo ni pamoja na “Mtenda akitendewa” na “Fisadi wa Mapenzi”.
 
Safu ya wanenguaji ikifanya mambo.
PICHA: RICHARD BUKOS  /GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages