Picha hapo Juu ni Wanafunzi Wa chuo cha IFM Wakiwa wamekusanyika maeneo ya chuo kwao wakiwa na mgomo unaodai kupinga wanafunzi wenzao kuzuiwa kufanya mitihani ya mwisho wa semester kwa sababu ya kutokumalizia kulipa ada ya mwisho wa semester.
Wanafunzi Wa Chuo Cha IFM Wakiwa wamekusanyika Katika Maeneo Ya Chuo Chao Kuanza kwa Mgomo Kwaajili ya Kushinikiza Uongozi Wa Chuo kuwaruhusu Wanafunzi ambao Hawakuruhisiwa Kufanya mitihani yao ya mwisho wa semester kwasababu hawakumaliza kulipa ada ya semester ya kwanza.
Picha na Mdau Catherine Charles
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)