MBIO ZA KILIMANJARO MARATHON ZAFANA KILIMANJARO JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MBIO ZA KILIMANJARO MARATHON ZAFANA KILIMANJARO JANA

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Alhaj Musa Samizi, akianzisha rasmi mbio za 'Vodacom 5KM fun run' zilizofanyika leo mjini moshi mkoani Kilimanjaro. Washiriki wa mbio hizo wakianza kutimua mbio baada ya kuanzishwa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Moshi.Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishangilia mara baada ya kumaliza mbio za Vodacom 5KM fun Run zilizofanyika mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro Jana.
Mtoto mlemavu Cornel Zagara akishirikia katika mbio hizo sambamba na watu wengine.
Mkuu wa Wilaya ya Hai Dr Noman sigwa akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa Vodacom 5KM Fun Run Kalis Stiven kitita cha shilingi 100,000 mara baada ya kuibuka mshindi wa mbio hizo. Kulia Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages