Mtendaji Mkuu wa masoko ya Afrika,na Afrika mashariki ya kati wa Vodafone group Foundation Nick Read(kushoto) akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 58 Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dares Salaam Said Meck Sadiq kwa niaba ya waathirika wa janga la mabomu ya Gongo la mboto,wa pili toka kushoto Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Dietlof Mare,Mkurugenzi wa mahusiano Mwamvita Makamba,mwisho kulia Meya wa manispa ya ilala Jerry Silaa
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dares Salaam Said Meck Sadiq akiwafafanulia jambo Mtendaji Mkuu wa masoko ya Afrika,na Afrika mashariki ya kati wa Vodafone group Foundation Nick Read,Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare mara baada ya kukabidhiwa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 58 kwa niaba ya wakazi wa Gongo la mboto walioathirika kwa janga la mabomu.
Meya wa manispa ya ilala Jerry Silaa akijadiliana jambo na Mtendaji Mkuu wa masoko ya Afrika,na Afrika mashariki ya kati wa Vodafone group Foundation Nick Read mara baada ya kukabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 58 kwa Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dares Salaam Said Meck Sadiq kwa niaba ya waathirika wa janga la mabomu ya Gongo la mboto.
Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom watatu toka mwanzo Dietlof Mare wakitembelea makazi ya wakazi wa Gongo la mboto walipoenda kukabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 58 kwa Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dares Salaam Said Meck Sadiq kwa niaba ya waathirika wa janga la mabomu ya Gongo la mboto.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)