MAKAMU WA RAISI DK BILAL AMTEMBELEA MKURUGENZI WA MANISPAA YA UNGUJA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAISI DK BILAL AMTEMBELEA MKURUGENZI WA MANISPAA YA UNGUJA


Mkurugenzi wa Manispaa ya Unguja Maalim Rashid Ali Juma alipotembelewa na Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal Hospitali ya Aga Ghan ambapo amelazwa akiendelea na matibabu baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana waliomrushia tindi kali usoni kutokana na sakata la kuhamishwa kwa nguvu wafanya biashara ndogo ndogo eneo la Darajani.Picha na Amour Nassor -Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages