Mkurugenzi mahusiano wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba, akimkabidhi kifaa cha kulishia vifaranga vya kuku mtoto wa kituo cha 'Rafiki Child Care Home' Nehemia Justin wa kituo hicho kilichopo Mererani wilaya Simanjiro mkoani Manyara. Mfuko huo umetoa msaada wa jengo la kufugia kuku vyote vikiwa na thamani ya Milioni 15, anaeshihudia ni Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kaskazini Nguvu Kamando.Mtoto wa kituo cha Rafiki Child Care Home kilichopo Mererani wilaya Simanjiro mkoani Manyara, Anna Lameck, akipokea sehemu ya vifaranga vya kuku kutoka kwa Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya kaskazini, Nguvu Kamando, baada ya kukabidhiwa rasmi na Vodacom Foundation mradi wa ufugaji kuku kwa kituo hicho,Mradi huo umegharimu shilingi Milioni 15.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)