WATALII WATUA DAR NA MAPIKIPIKI WAFANYA PATI LA NGUVU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WATALII WATUA DAR NA MAPIKIPIKI WAFANYA PATI LA NGUVU

Baadhi ya Watalii kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika sherehe yao kwenye Hoteli ya Seaclief, jijini Dar es Salaam, baada ya kuwasili jana jijini wakitumia usafiri wa pikipiki ambapo waliweza kutembelea mbuga mbalimbali za wanyama za nchini kwa kutumia usafiri wao huo. Wakisebeneka hotelini hapo..
Mwandishi wa habari wa Mwananchi Nyoni, akipiga picha ya kumbukumbi na moja ya mashine hizo za ukweli
Wahudumu katika pati hiyo....
Mashine za ukweli...

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages