RAISI KIKWETE AKUTANA NA BW. ROBERT MCBEAN - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AKUTANA NA BW. ROBERT MCBEAN

Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Makampuni ya Wentworth Resources Limited, Robert McBean, wakati mgeni huyo na ujumbe wake walipomtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. PICHA NA JOHN LUKUWI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages