VISURA WA TANZANIA NA MAMA YAO RAHMA AL KHAROOS WALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA AMANA NA KUTOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAGONJWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VISURA WA TANZANIA NA MAMA YAO RAHMA AL KHAROOS WALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA AMANA NA KUTOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAGONJWA









RAIS wa RBP Oil& Industrial Technology Tanzania Limited Rahma Al Kharoos pamoja na washiriki wa shindano la kumsaka kisura wa Tanzania mwaka 2011 wametembea hospitali ya Amana na kuwapatia chakula pamoja na maji wahanga wa milipuko ya mabomu iliyotokea Gongo la Mboto jumatano usiku, pamoja na kuwafariji wagonjwa wengine ikiwemo pia kutembelea wodi ya wazazi hospitalini hapo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages