CHID BENZ NDANI YA INDIA KWA SHOW - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHID BENZ NDANI YA INDIA KWA SHOW

 
Chid Benz akiwa Na Wadau Nchini India Katika Jiji la Mysore.
Kama Kawaida Chid Benz Akishika MIC na Kuanza Makamuzi Ya Kufa Mtu Huku mashabiki wakifurahi
Chid Benz Akiwapa Hi Mashabiki Wake  Ndani Ya Ukumbi wakati Aikiingia Ukumbiini Hapo Kuanza Kupiga Show
Msanii Chid Benz Akiwa Ndani Ya Mysore India Kwaajili Ya Show
Picha Kwa Msaada Wa Mjengwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages