TAMASHA LA PASAKA LASAIDIA WAHANGA WA GONGO LA MBOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAMASHA LA PASAKA LASAIDIA WAHANGA WA GONGO LA MBOTO

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka la nyimbo za Injili, Alex Msama, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi msaada wenye thamani ya sh. milioni 3 kwa waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto, Dar es Salaam jana.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka la nyimbo za Injili, Alex Msama (kulia) akimkabidhi mtangazaji wa Radio Clouds, Anthonio Nugazi, magunia yenye vyakula mbalimbali vyenye thamani ya sh. milioni 3 ikiwa ni msaada kwa ajili ya walioathirika kwa mabomu ya Gongo la Mboto, Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Clouds.
Picha Na Habari Kwa Msaada Wa Mjengwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages