MKE WA MAKAMU WA RAISI DOKTA BILAL ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MILIPUKO YA MABOMU HOSPITAL YA AMANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKE WA MAKAMU WA RAISI DOKTA BILAL ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MILIPUKO YA MABOMU HOSPITAL YA AMANA

Mke Wa Makamu Wa Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mama Asha Bilal Alipotembelea Hospitali Ya Amana jana Kuwapa Pole wagonjwa waliolazwa ili kupata matibabu baada ya kujeruhiwa na milipuko ya mabomu uliotokea juzi katika ghala namba 5 la kuifadhia silaha la kambi ya jeshi la wananchi wa Tanzania iliyopo Gongo La Mboto

1 comment:

  1. Anonymous12:20 AM

    Jamani hawa Viongozi wanaenda tu kuwatembelea na baada ya hapo hawawakumbuki na wala hawakumbuki kama watu hao wamepoteza makazi na hata ndugu,jamaa na rafiki zao..waache unafiki

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages