AJALI YA PIKIPIKI YAUA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJALI YA PIKIPIKI YAUA

Ajali hii mbaya ilitokea jana asubuhi, katika eneo la Mkundi, nje kidogo ya mji wa Morogoro. Mwendesha pikipiki, ambaye hakujulikana mara moja, aligongana uso kwa uso na Fuso na kusababisha kifo chake hapo hapo hukuakiicha pikipiki ikiwaka moto!
PICHA: Dastun Shekidele/GPL Mororgoro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages