VAZI LA MAMMA MIA KUZINDULIWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VAZI LA MAMMA MIA KUZINDULIWA

Mustafa Hassanali akiwajuza wanahabari juu ya onyesho hilo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar es Salaam leo mchana.
KAMPUNI ya mitindo ya mavazi ya Mustafa Hassanali, leo imetangaza kuzindua vazi maalum liitwalo Mamma Mia katika kusherehekea miaka mia moja ya Siku ya Wanawake Duniani.

Onyesho hilo litafanyika katika Hoteli ya Moven Pick, Machi 4 mwaka huu na siku inayofuata litafanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar ves Salaam ambapo kiingilio kitakuwa shilingi mia moja.
Mustafa akiwa na wadau mbalimbali ambao watashirikiana naye katika maonyesho hayo.
Wanahabari wakipata “mawili matatu”.
PICHA NA RICHARD BUKOS /GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages