MMOMONYOKO WA BARABARA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MMOMONYOKO WA BARABARA ZANZIBAR


 Wahenga walisema usipoziba ufa utajenga ukuta, pichani ni uchakavu wa ukingo wa bahari unaotishia kufunga barabara kuu kutoka Forodhani hadi bandarini mjini Zanzibar ambapo hivi sasa shimo kubwa limejitokeza juu ya barabara hiyo kiasi cha kuyafanya magari kupita eneo hilo kwa shida. Picha na Martin Kabemba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages