KIPINDI CHA HUZUNI KWA SPIKA ANNE MAKINDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KIPINDI CHA HUZUNI KWA SPIKA ANNE MAKINDA


Spika wa Bunge la Tanzania,Anne Makinda akiwa na huzuni wakati Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadick anamsomea taarifa kuhusu milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),Gongo La Mboto.Makinda ametembelea kambi ya waathirika, Mzambarauni jijini humo.Picha na Fadhili Akida

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages