KAMATI YA KITAIFA YA USHAURI WA NGOZI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMATI YA KITAIFA YA USHAURI WA NGOZI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM


 Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. David Mathayo David (MB)akizundua Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Ngozi leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Ngozi Dkt. Jona Melewas.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt.Yohana Budeba akizungumza machache kabla ya mkumkaribisha Mhe. Waziri Kuzindua Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Ngozi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages