RAISI KIKWETE AENDELEA NA KAZI YA UPATANISHI NCHINI IVORY COAST - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AENDELEA NA KAZI YA UPATANISHI NCHINI IVORY COAST


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa na kiongozi wa upinzani wa Ivory Coast Alassane Outtarra katika makazi yake ya muda, hoteli ya Golf iliyopo jijini Abidjan jana mchana.Baadaye Rais Kikwete na viongozi wengine wa nchi za Afrika waliopo katika kamati maalumu ya usuluhishi ya mgogoro wa Ivory Coast walikwenda hotelini hapo jana na kufanya mazungumzo naye.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete(kushoto),Rais Mohamed Ould Abdel Aziz wa Mauritania(wapili kushoto),Kiongozi wa Upinzani wa Ivory Coast Alassane Ouattarra na Rais wa Afrika ya Kusini Jackob Zuma wakiwa katika mazungumzo katika hoteli ya Golf jijini Abidjan jana mchana
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na kiongozi wa upinzani wa Ivory Coast Alassane Ouattara(Katikati) pamoja na Rais wa Chad Idriss Deby(kulia) muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo ya upatanishi katika hoteli ya Golf iliyopo jijini Abidjan jana mchana.Picha: Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages