TAWI JIPYA LA CHADEMA LAZINDULIWA CHUO CHA MIPANGO DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAWI JIPYA LA CHADEMA LAZINDULIWA CHUO CHA MIPANGO DODOMA


 Mgeni rasmi ktk uzinduzi wa tawi hilo mbunge viti malumu(MBEYA)Mheshimiwa Naomi Kaihula akiongea baada ya uzinduzi kushoto kwake ni mbunge wa arusha Godless Lema kutoka Chadema
 Mbunge wa  Kawe -Chadema Mheshimiwa Halima Mdee akiunguruma kwenye mkutano huo
Mbunge wa Ubungo-CHADEMA Mheshimiwa John Mnyika akinguruma katika Mkutano huo
Mbunge wa viti maalumu Arusha mjini (CHADEMA) Mheshimiwa Rebecca Michael Mngodo akiongea
wanachama wa CHADEMA tawi la chuo cha mipango DODOMA wakishangiria ktk uzinduzi wa Ofisi ya CHADEMA eneo la MIYUJI Dodoma, ofisi hiii ya tawi la chadema  eneo la miyuji imefunguliwa rasmi February 12-2-2011 na mbunge wa viti maaalum chadema mkoani mbeya Mheshimiwa Naomi Kaihula na kuhudhuriwa na Wabunge  wa chadema ambao wapo kwenye shughuli mbalimbaliz a vikao vya bunge mjini dodoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages