Nguzo za umeme zikiwa zimeanguka pembezoni mwa Barabara ya Kawawa eneo la Bonde la Mkwajuni Dar es Salaam, kutokana na upepo mkali ulioambatana na mvua iliyonyesha jijini leo asubuhi.
Magari yakipita kwa taabu katika Barabara ya Kawawa eneo la Bonde la Mkwajuni, kufuatia nguzo za umeme kuanguka leo sababu ya mvua na upepo.
Mkazi Tandale, akiwa na kifa cha kuzibulia mtaro wa maji ili kunusuru yasiingie ndani kwake baada ya mvua kubwa iliyonyesha kwa muda mchache leo asubuhi.

Picha na Habari Kwa Msaada Wa SUFIANI MAFOTO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)