HEMAJO ENTERTAINMENT YAZINDULIWA JIJINI MWANZA USIKU WA KUAMKIA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HEMAJO ENTERTAINMENT YAZINDULIWA JIJINI MWANZA USIKU WA KUAMKIA LEO

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Hemajo Entertainment,Edith Subeti akizungumza usiku wa kuamki leo wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo na uzinduzi wa saba saba tatu ya Clouds Fm ndani ya ukumbi wa Nyumbani Hotel,jijini Mwanza.
Meneja wa vipindi wa Radio Clouds Fm,Sebastian Maganga akizungumza katika uzinduzi huo ndanyi ya ukumbi wa Nyumbani Hotel,jijini Mwanza usiku wa kumkia leo.
Gea Habib.
Dina Marious.
Zamaradi Mketema.
PG Kweka a.k.a Baghdad.

Barnaba na Linah wa Mwanza wakikamua wrong number.
Sajna akikamua na kitu cha Iveta.
Sms hii jamani......
Taswira ikichukuliwa kwa ajili ya kumbukumbu
Amini na MC G. Sengo.
Kiduku cha amini na mwanadada.
Jamani imba basi pamoja na kukuchagua kote....
kwaitozz
burudani nayo haikuwa nyuma kama unavyoona tena

Wadau wakiwa makini kufuatilia
Mkuu wa vipindi wa Clouds Fm,Seba Maganga (shoto),Zamaradi Mketema (pili kilia) Mie (pili shoto) pamoja na Dina Marious.
Amini na Barnaba wakifanyiwa Mahojiano na Moshyn a.k.a Kimodo wa Clouds Fm.

Kwa Msaada Wa Othman Michuzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages