BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) WAMTEMBELEA EDWARD LOWASA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) WAMTEMBELEA EDWARD LOWASA


Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma walipomtembelea nyumbani kwake,Dodoma jana,kwa ajili ya kuzungumzia maendeleo ya jimbo la Monduli na mambo mengine..

1 comment:

  1. Anonymous2:17 PM

    kama hiyo safari si ya kujipendekeza, basi ni maslahi binafsi......hamna lolote!!!!

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages