Mdau hebu tafakari maana halisi ya picha hii, je mtu kama huyu anaamua kuandika ujumbe kama huu na akauweka mahala kama hapa ambapo yeye ndipo hasa maskani kwake na kama jinsi unavyomuona, je mtu kama huyu anapofikia mahali amechoka akili na kila kitu ataweza kuogopa mabomu ya machozi kweli huyu??? si ndo yatatokea kama ya Misri???
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)