KESI YA MANJI KUMDAI FIDIA YA SH. 1, MENGI ILIVYOENDELEA TENA HAPO JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

KESI YA MANJI KUMDAI FIDIA YA SH. 1, MENGI ILIVYOENDELEA TENA HAPO JANA

DSC_0206Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Group, Yusuph Manji (kushoto) akizungumza na wasaidizi wake nje ya Chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, leo wakati alipofika kuendelea kutoa ushahidi wa kesi yake dhidi ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, ambapo Manjia anamdai fidia ya Sh. 1, Mengi kwa kile alichodai kudhalilisha, ambapo pia fidia hiyo iambatane na kuombwa radhi kwa muda wa siku saba kupitia Televisheni ya ITV.

DSC_0170Kama kawaida yake Manji, hapa akiwasha fegi kutuliza akili kabla ya kuanza kwa kesi hiyo...
DSC_0176Hapa akitafakari nje ya chumba cha mahakama..

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages