NHIF YAMWAGA MSAADA WA SHILINGI MIL 6 KWA WAATHIRIKA WA MABOMU GONGO LA MBOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NHIF YAMWAGA MSAADA WA SHILINGI MIL 6 KWA WAATHIRIKA WA MABOMU GONGO LA MBOTO


Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khamis Mdee (kushoto), akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha na Ugavi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Philemon Felix msaada wa dawa mbalimbali zenye thamani ya sh. milioni 2.2 na mashuka 100 kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto waliolazwa MOI. Wanaoshuhudia makakabidhiano hayo yaliyofanyika katika Taasisi hiyo jana, ni Meneja Uhusiano wa MOI, Jumaa Almas na Meneja wa NHIF, Luhende Singu.Picha na Mdau Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages