RAISI WA SERIKALI YA WANAFUNZI SUA ATOA TAARIFA ZA KERO NA MATATIZO YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI WA SERIKALI YA WANAFUNZI SUA ATOA TAARIFA ZA KERO NA MATATIZO YANAYOWAKUMBA WANAFUNZI

Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo( SUA),Emmanuel Masonga ( aliyesimama )akitoa taarifa za kero na matatizo mbalimbali yanayowakabili wanafunzi wa Chuo Kikuu hicho , mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ( hayupo pichani) juzi kwenye ukumbi wa Jengo la Utawala la SUA , alipotembelea kwa ajili ya kusikiliza hoja mbalimbali za wanafunzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages