MRISHO MPOTO NA DIAMOND WAYAVAA MABOMU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MRISHO MPOTO NA DIAMOND WAYAVAA MABOMU

mpoto-2.JPG
Na Mwandishi Wetu
Wasanii wa muziki Bongo, Nasib Abdul ‘Diamond’ na Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ (pichani) wameungana na Watanzania wenzao katika kuombeleza vifo vya milipuko ya mabomu, Gongo la Mboto, Dar es Salaam kwa kutunga wimbo walioupa jina la kitongoji hicho.

Akichonga na Ijumaa Wikienda, Mjomba Mpoto alisema  ‘singo’ hiyo inayoitwa Gongo la Mboto imeanza kupigwa kwenye vituo mbalimbali vya redio vya jijini Dar tangu juzi Jumamosi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages