AZAM FC ILIPOITUNGUA RUVU JKT 2 - 0 UWANJA WA UHURU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AZAM FC ILIPOITUNGUA RUVU JKT 2 - 0 UWANJA WA UHURU

Mrisho Ngasa wa Azam Fc (kulia) akijaribu kuuwahi mpira ili kupiga krosi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, baina yao na JKT Ruvu uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Azam imeshinda mabao 2-0. Kwa ushindi huo sasa Azama imefikisha jumla ya Pointi 35 sawa na Yanga, ambapo Azam inasaidiwa na magoli mengi ya kufunga na machache ya kufungwa, na Simba ikishikilia nafasi ya tatu ikiwa na Point 34. Kati ya Yanga Azam na Simba ni timu ipi itachukua ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages