MABALOZI WA SADC NCHINI WAMTEMBELEA Dk ALI MOHAMED SHEIN IKULU ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MABALOZI WA SADC NCHINI WAMTEMBELEA Dk ALI MOHAMED SHEIN IKULU ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea ripoti ya kutoka kwa kiongozi wa ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za SADC waliopo Tanzania,Balozi wa Tanzania nchini Congo,Juma Alfani Mpango,alipokuwa na mazungumzo na Mabalozi hao jana,Ikulu Mjini Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na kiongozi wa ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za SADC waliopo Tanzania,Balozi wa Tanzania nchini Congo, Juma Alfani Mpango,walipofika Ikulu kuonana na Rais jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi za SADC waliopo Tanzania,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana, kwa mazungumzo na Rais.Picha na Ramadhani Othman IKULU-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages