KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA MITAMBO YA DOWANS - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA MITAMBO YA DOWANS


 WAJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakikagua mitambo ya umeme ya Dowans, Ubungo,Dar es Salaam leo
MKURUGENZI wa Fedha wa Kampuni ya Dowans,Stanley Munai(kulia)akizungumza na waandishi wa habari, waliofuatana na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, leo, kwenye mitambo ya kampuni hiyo, Ubungo, Dar es Salaam.Picha zote na Mdau Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages