MAANDAMANO YA CHADEMA JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAANDAMANO YA CHADEMA JANA


 Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza leo asubuhi walijumuika na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA jijini humo katika maandamano makubwa ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha na upatikanaji wa nishati ya umeme.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages