RAISI JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MZEE JUMA SINGANO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MZEE JUMA SINGANO


Rais Dk.Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la kada wa Chama Cha Mapinduzi marehemu Mzee Juma Singano wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo mchana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages