FEDHA BANDIA,BANGI NA GONGO VYAKAMATWA JIJINI MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FEDHA BANDIA,BANGI NA GONGO VYAKAMATWA JIJINI MWANZA


Hayo yamebainishwa leo na Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa mwanza Simon Sirro wakati alipozungumza na waandishi wa habari mbele ya ofisi zake huku akionyesha baadhi ya vidhibitisho hivyo vya madawa mbalimbali ya kulevya yaliyokamatwa na jeshi lake.Misokoyo na mitenba ya bangi iliyonaswa.
Madawa mengine yaliyokamatwa ni pamoja na mirungi kilo 3,769.106, Gongo lita elfu 10,638, na Noti bandia zenye thamani ya shilingi milioni sita laki saba tisini na tano elfu.

Kutoka TBC1 Richard Leo akiripoti....Kupitia misako mbalimbali kwa mwaka 2010 hilo limefanikiwa kukamata gramu mia mbili na kumi za madawa ya kulevya aina ya Cocaine na kiasi cha gramu mia sita hamsini na tatu za madawa ya kulevya aina ya Heroine.
Kwa Msaada Wa Uniquetz

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages