POLISI WAKIWAHOJI WATOTO WA MITAANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

POLISI WAKIWAHOJI WATOTO WA MITAANI


Polisi wakiwahoji baadhi ya watoto baada ya kuwashuku kuwa ni wa mitaani waliojikusanya katika Jengo la PTA Uwanja wa Sabasaba Dar es Salaam kwa madai kuwa wao ni waathirika wa milipuko ya mabomu iliyotokea kambi ya Jeshi Gongo la Mboto.Picha na Yusuf Badi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages