Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya (katikati) akifungua mafunzo kwa maafisa watenadaji wa kata, mitaa, madiwani na maafisa ugani yenye lengo la kuimarisha dhana ya polisi jamii na ulinzi shirikishi katika ukumbi wa New Savoy Hoteli mjini hapa. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii nchini SACP Basilio Mathei na kushoto ni Kamanda wa mkoa wa Morogoro Adolfina Chialo.
Kamanda wa mkoa wa morogoro Adolfina Chialo kulia akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii nchini SACP Basilio Mathei wakati wakifuatilia matukioa mbalimbali katika ukumbi huo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)