Mmiliki wa Kampuni ya Quality Group Tanzania Limited, Yusufu Manji (kushoto), ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya 11 ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana, akimpongeza Mwanafunzi Doreen Kabuche ambaye alifanya vizuri kuliko wengine katika masomo ya Hisabati na Jiografia. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule hiyo, Maneno Mbegu.Manji ambaye alikuwa mgeni rasmi aliisaidia shule hiyo sh. milioni 48.Picha na Richard Mwaikenda
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)