RAISI JK ALIPOSHIRIKI SEMINA YA WABUNGE WA CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI JK ALIPOSHIRIKI SEMINA YA WABUNGE WA CCM


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiingia katika ukumbi wa Blue Peal Hotel jijini Dar es Salaam,kuhudhuria semina ya wabunge wa CCM Jana,Semina hii ilianza jana katika ukumbi huo jijini Dar es Salaam,nyuma yake ni Spika wa Bunge,Anna Makinda.Picha na Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages