Pichani kushoto ni katibu mkuu wa Chdema Dk Wilbrod Slaa akizungumza mambo mbalimbali na kuhusu mchakato wa katiba mpya jana jioni kwenye mkutano wao wa hadhari uliofanyika kwenye viwanja vya mtaa wa mwongozo Makuburi-Mabibo Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali mbalimbali na wananchi
Mwanzilishi wa Mageuzi Nchini Tanzania Mabere Marando ambaye kwa sasa ni mwanachama wa Chadema akiwasalimia mamiaa ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wao wa hadhara viwanja vya mtaa wa mwongozo Makuburi-Mabibo Jijini Dar es Salaam na kusema namna machakato wa katiba unavyopaswa kufanyika
Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye pia ni naibu katibu mkuu wa chadema Zitto Kabwe akitema cheche kwenye mkutano huo na ulioudhuriwa na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali mbalimbali na Mamia ya wananchi
Mbunge wa Mbeya Mjini Chadema Joseph Mbilinyi aka Mr sugu akiongoza zoezi la kuimba wimbo wa Taifa kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano wao wa hadhara viwanja vya mtaa wa mwongozo Makuburi-Mabibo Jijini Dar es Salaamna jana,kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe(kushoto)akimkaribisha John Mnyika na Mbunge wa Ubungo Chadema kwenye mkutano wao wa hadhara Viwanja vya mtaa wa mwongozo Makuburi-Mabibo Jijini Dar es Salaam juzi
Mbunge wa Viti Maalum Chadema Bi Regina Mtema akisalimia Mamia ya wananchi na wanavyuo mbalimbali waliojitokeza kwa wingi juzi kwenye mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika kwenye viwanja vya vya mtaa wa mwongozo Makuburi-Mabibo Jijini Dar es Salaamna
Pichani ni Makamanda wa Chadema wakijitambulisha jukwaani mbele ya mamia ya wananchi kwenye mkutano wa hadhari uliofanyika kwenye viwanja vya mtaa wa mwongozo Makuburi-Mabibo Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali mbalimbali na mamia ya wananchi
Meza Kuuu ya Chadema
Mbunge wa Jimbo la Ubungo(Chadema) John Mnyika(kushoto)akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbrod Slaa Kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya mtaa wa mwongozo Makuburi-Mabibo Jijini Dar es Salaam
Picha juu na Chini Sehemu ya Umati
Mmmoja wa wananfunzi wa chuo kikuu cha UDSM Linus Kamara akirejesha kadi ya chama cha CCM na kujiunga rasmi na Chadema Kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya vya mtaa wa mwongozo Makuburi-Mabibo Jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbrod Slaa na viongozi mbalimbali wa Cahdema Wakiwasili Kwenye Viwanja vya vya mtaa wa mwongozo Makuburi-Mabibo Jijini Dar es Salaam jana.Picha na Habari na Mdau Ahmed Michuzi
chadema ninyi ni majembe endelezeni mchakato msimpe nafasi huyo kiongozi wa mafisadi.anajijua mwenyewe hata bila kumtaja.chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete